Signers Sign the Statement Now! Kwa ajili ya upendo wa Mungu na Jirani Shahidi wa Kawaida katika Kongamano Kuu la Mwaka 2012 Sisi ni watu wenye nia ya kumfuata Yesu Kristo ili kuupa nguvu upendo wa Mungu na haki kwa njia ya Kanisa la United Methodist. Twatarajia upako wa roho mtakatifu katikati yetu tunapojitahidi kumpenda jirani [...]
